GET /api/v0.1/hansard/entries/1128862/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1128862,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1128862/?format=api",
"text_counter": 257,
"type": "speech",
"speaker_name": "Navakholo, JP",
"speaker_title": "Hon. Emmanuel Wangwe",
"speaker": {
"id": 2543,
"legal_name": "Emmanuel Wangwe",
"slug": "emmanuel-wangwe"
},
"content": " Mhe. Naibu Spika wa Muda, naomba uniwie radhi, sina amri kutoka kwake siku ya leo. Hata hivyo, nitatumia Ofisi yangu na Ofisi ya Mkuu wa Wengi Bungeni kuwasilisha ujumbe huo kwa Mhe. Wanga ili wiki ijayo yeye mwenyewe akiwa, Mungu akipenda, siku ya Jumatano aweze kumjibu Mhe. Sharrif Nassir kikamilifu. Nashukuru sana."
}