GET /api/v0.1/hansard/entries/1129255/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1129255,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1129255/?format=api",
"text_counter": 51,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika, tunasema ya kwamba, Hotuba yake ilikuwa kidogo iliweza kuweka mwelekeo, lakini kuna maeneo fulani ambayo itatakikana aweze kuyajaza yale matundu. Lakini jambo la mwisho ni kwamba, yeye mwenyewe alisema ya kwamba, sisi kama Wakenya wakati atakapoenda, tuhakikishe ya kwamba, Rais wa Jamhuri ya Kenya wa tano atakayekuja ataweza kumaliza mambo haya na anayeweza kumaliza mambo si mwingine bali ni baba Raila Amollo Odinga. Kwa hivyo, sisi tunasema ya kwamba, ikiwa yeye atakuwa, tuna imani ya kwamba ufisadi utaisha na kutakuwa na uchumi samawati. Kila kitu kitaelekea kisawa sawa. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}