GET /api/v0.1/hansard/entries/1129416/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1129416,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1129416/?format=api",
"text_counter": 19,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Malalah",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13195,
"legal_name": "Cleophas Wakhungu Malalah",
"slug": "cleophas-wakhungu-malalah-2"
},
"content": "Asante sana, Bi. Spika wa Muda. Nilikuwa nimebonyeza kuchangia Hotuba ya Rais, lakini vile umenipatia nafasi, siwezi kukataa kumkaribisha Spika Wahome, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kongamano la Baraza za Maspika. Pia ningependa kuwakaribisha wafanyikazi wa Bunge la Kaunti ya Narok hapa Seneti. Kazi kubwa ya Seneti ni kutetea ugatuzi. Mwaka wa 2010 tulipitisha Katiba iliyotupa mamlaka sisi kama nchi kuakikisha ya kwamba rasilimali zimepelekwa mashinani kutumiwa na serikali zetu za gatuzi. Ni muhimu kwa Seneti na bunge za kaunti kufanya kazi pamoja ili kuendeleza ugatuzi. Ninamhimiza mwenye kiti wa Kongamano la Maspika ya Bunge za Kaunti kuhakikisha wabunge wa kaunti wanafanya kazi yao vizuri ili kuinua hadhi ya bunge zao. Hii ni kwa sababa wabunge wa kaunti hawajibebi na hadhi inayofaa mbunge ambaye amechaguliwa na wananchi. Ninasema hivi kwa sababu wakati mwingine wanapigana na kuvuana nguo katika bunge zao. Ingekuwa vyema kama tungekuwa na mpangilio fulani ambao ungekuwa unaleta Seneti na bunge za kaunti kufanya kazi pamoja na kujifunza. Mimi nilianza kama The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}