GET /api/v0.1/hansard/entries/1129900/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1129900,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1129900/?format=api",
"text_counter": 129,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Asante, Bi. Naibu Spika, kwa kunipa fursa hii kuzungumzia Hotuba ya Rais kwa Bunge jana tarehe 30 Novemba, 2021. Kwanza ninanpongeza Rais Uhuru Kenyatta kwa Hotuba hiyo ambayo Wakenya wengi walikua wanaisubiri kwa hamu, kwa sababu huu ni mwongozo na ruwaza ya yale mambo anaweza na anatarajia kufanya na Serikali yake kwa muda unaofuata. Kwa sababu uchumi wetu ulipata pigo baada ya kuvamiwa na janga la korona na nzige mwaka jana, Mhe. Rais alitetea uchumi wetu na vile maendeleo mengine yamefanyika hapa nchini."
}