GET /api/v0.1/hansard/entries/1129905/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1129905,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1129905/?format=api",
    "text_counter": 134,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "kwa wale hawajui Kiswahili. Mhe. Rais wetu alisafiri mpaka Scotland na akatoa hotuba. Ujumbe wa Kenya katika mkutano huo ulikuwa na kazi kubwa na ulionyesha mambo mengi ambayo nchi yetu inafanya ili kudhibiti madadiliko ya tabianchi."
}