GET /api/v0.1/hansard/entries/1129908/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1129908,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1129908/?format=api",
    "text_counter": 137,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bi. Naibu Spika, nampongeza baba na kiongozi wa chama chetu, Mhe. Raila Amolo Odinga kwa kuona mbele kwake na kuja pamoja na Mhe. Rais Uhuru Kenyatta ili kushukisha chini joto la kisiasa na kuimarisha uchumi wa nchi hii wakati ulikuwa unayumbayumba kutokana na kura zilizopigwa mwaka wa elfu mbili kumi na saba."
}