GET /api/v0.1/hansard/entries/1129909/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1129909,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1129909/?format=api",
    "text_counter": 138,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Baadhi ya mambo ni mazuri. Hata hivyo, kuna mambo mengi ambayo Serikali inastahili kufanya. Kwanza kabisa ni haki za binadamu. Kwa muda wa miaka minne au mitano iliyopita, tumeona watu wakidhulumiwa na haki za kibanadamu kutoheshimiwa kupitia kwa mauaji ya watu kiholela au extrajudicial killings . Wengine kutekwa nyara bila kujulikana wamepelekwa wapi."
}