GET /api/v0.1/hansard/entries/1129910/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1129910,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1129910/?format=api",
"text_counter": 139,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bi. Naibu Spika, Kenya ni nchi ambayo inalindwa na Katiba na sheria. Ni nchi ambayo ina taasisi ya mahakama. Licha ya matatizo ya hapa na pale, taasisi hii imekua inafanya kazi yake vizuri zaidi kuliko mahakama za nchi zingine za Afrika na kwingineko. Lakini, ongezeko la watu wanaouliwa kiholela katika mikono ya polisi imekuwa juu sana."
}