GET /api/v0.1/hansard/entries/1129911/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1129911,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1129911/?format=api",
"text_counter": 140,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Mwaka huu, mashirika ya Haki Africa na Independent Medical Legal Unit (IMLU) wamerekodi visa zaidi ya sabini ambavyo watu wamepoteza maisha yao kiholela au kupotezwa bila kufuata sheria. Ripoti hiyo tuliijadili hapa wiki mbili zimepita na haina haja ya kuongezea. Mhe. Rais angefaa kutoa mwongozo au msimamo wake kwamba ataendelea kuongoza nchi hii kupitia katiba na sheria ambayo iko katika nchi."
}