GET /api/v0.1/hansard/entries/1129912/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1129912,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1129912/?format=api",
    "text_counter": 141,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bi. Naibu Spika, Wakenya wengi katika maeneo ya Pwani na ukanda wa Kaskazini ya Kenya, yaani Northern Kenya ; wanaishi katika hofu kwa sababu hawajui ni wakati gani watakamatwa na familia zao hatizapata fursa ya kuwaona tena. Hotuba ya Mhe. Rais ilikuwa kimya kabisa kuhusu suala la ufisadi. Hapo awali mwaka jana, wakati janga la korona lilipoingia na zabuni za korona zilipoanza kutoka, fedha nyingi zilitolewa na kupotezwa bila ya kuletwa zile bidhaa ambazo zilikusudiwa kununuliwa. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}