GET /api/v0.1/hansard/entries/1129913/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1129913,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1129913/?format=api",
    "text_counter": 142,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bi. Naibu Spika, hatujapata ripoti yeyote kuhusu mwongozo au maazimio ambayo Mhe. Rais alitoa kuhusiana na uchunguzi wa masuala ya korona mpaka sasa. Katika uongozi wa Mhe. Rais katika muhula wa mwaka elfu mbili kumi na tatu mpaka elfu mbili kumi na saba, tuliona wakati fulani Mawaziri waliambiwa wakae kando ili uchunguzi uweze kufanywa kuhusiana na masuala ya ufisadi."
}