GET /api/v0.1/hansard/entries/1129917/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1129917,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1129917/?format=api",
"text_counter": 146,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, jambo lingine limenisikitisha ni kuona kuwa Mhe. Rais hakuzungumzia kikamilifu uchumi samawati yaani blue economy. Uchumi huo ni muhimu katika nchi yetu kwa sababu tuna ufuo wa bahari na maziwa Victoria na Turkana ambako shughuli za uchumi samawati zinafanyika. Mhe. Rais aligusia tu kijujuu. Maendeleo yanayofanyika katika sekta hii ni ya chini sana na hajatoa natija yeyote kwa Wakenya kuhusiana na suala hili."
}