GET /api/v0.1/hansard/entries/1129921/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1129921,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1129921/?format=api",
"text_counter": 150,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Mhe. Rais hakuzungumzia suala hili ili kutoa mwongozo. Je, suala hili limeleta natija ama la? Ni mambo gani yamezuia kupatikana kwa maendeleo kwa usafirishaji wa mizigo na kudhibiti mambo ya reli, kama ilivyokuwa imekusudiwa na mpaka sasa haijakamilishwa."
}