GET /api/v0.1/hansard/entries/1129922/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1129922,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1129922/?format=api",
"text_counter": 151,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Swala hili la kubinafsishwa kwa bandari limetia sana tumbojoto wakazi wa Pwani kwa sababu bandari ndio mtaji mwenyezi Mungu amewajalia nalo. Kwa hivyo, hatutakuwa tayari wakati wowote kuwacha mtaji huu uweze kuharibika."
}