GET /api/v0.1/hansard/entries/1129923/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1129923,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1129923/?format=api",
"text_counter": 152,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bi. Spika wa Muda, masuala ya usafirishaji wa mizigo kutoka bandari ya Mombasa yalistahili kuzungumziwa kwa sababu Serikali inalazimisha mizigo yote ibebwe na shirika la Standard Gauge Railways (SGR), shirika la reli la Kenya. Hata hivyo, kuna uhuru wa biashara nchini. Kuna wale wanaofanya biashara za malori na za kibinafsi wanastahili kupewa nafasi kufanya hivyo. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}