GET /api/v0.1/hansard/entries/1132686/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1132686,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1132686/?format=api",
    "text_counter": 144,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Rabai, ODM",
    "speaker_title": "Hon. William Mwamkale",
    "speaker": {
        "id": 2672,
        "legal_name": "William Kamoti Mwamkale",
        "slug": "william-kamoti-mwamkale"
    },
    "content": "Sisi kama wakaazi wa Rabai, tunashukuru kwa kuwa barabara kutoka Jomvu hadi Kwambaje inamalizika. Ni barabara nzuri na tuna imani kwamba hata ile ingine ya kutoka Bamburi kuenda Ngondora pia itamalizika ili nasi wakaazi wa Rabai tujivunie. Tumekuwa na mapendekezo kwamba kuwe na barabara kutoka Bagamoyo mpaka Kibao Kiche ambayo itarahisisha mavuno ya wakaazi kufika kule ambako yanatakikana kufika."
}