GET /api/v0.1/hansard/entries/1132687/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1132687,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1132687/?format=api",
"text_counter": 145,
"type": "speech",
"speaker_name": "Rabai, ODM",
"speaker_title": "Hon. William Mwamkale",
"speaker": {
"id": 2672,
"legal_name": "William Kamoti Mwamkale",
"slug": "william-kamoti-mwamkale"
},
"content": "Vile vile, tunampongeza Rais kwa upande wa afya. Amejaribu. Yote ambayo aliyoyaeleza hapa yamefanyika Nairobi. Tunataka akitengeneza zahanati zingine hapa, aende Kisumu na aende Pwani pia tuone zahanati zingine zikitengenezwa huko. Isiwe ndani ya Nairobi Kaunti na kwa majeshi peke yake. Hata wale wengine pia hawana mwingine wa kuangalia. Ni yeye tu. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}