GET /api/v0.1/hansard/entries/1132713/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1132713,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1132713/?format=api",
    "text_counter": 171,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Samburu CWR, KANU",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Maison Leshoomo",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "shukrani kwa yale ambayo ametendea wengine. Tunaomba Mungu amlinde Rais Uhuru na aendelee na moyo huo wa kuishikilia Kenya hata anapostaafu. Hatakufa na atarudi tu. Kama Katiba ingebadilishwa, tungesema arudi miaka mingine mitano ili Kenya iende mbele. Ahsante sana, Mhe. Spika kwa muda ulionipa."
}