GET /api/v0.1/hansard/entries/1132804/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1132804,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1132804/?format=api",
    "text_counter": 262,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ruiru, JP",
    "speaker_title": "Hon. Simon King’ara",
    "speaker": {
        "id": 13468,
        "legal_name": "Simon Nganga Kingara",
        "slug": "simon-nganga-kingara-2"
    },
    "content": "Watoto wetu sasa hawataenda chuo kikuu. Wataenda hizo taasisi za kiufundi na kupata mwelekeo wa kujiajiri wao wenyewe. Hilo ni jambo ambalo litaendeleza maisha ya vijana nchini. Asante. Mimi naunga mkono. Ningeomba tumpatie Uhuru nafasi amalize ile kazi tulimpatia ndio Kenya itambulike katika Afrika."
}