GET /api/v0.1/hansard/entries/1133874/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1133874,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1133874/?format=api",
    "text_counter": 109,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "North Imenti, JP",
    "speaker_title": "Hon. Rahim Dawood",
    "speaker": {
        "id": 2572,
        "legal_name": "Abdul Rahim Dawood",
        "slug": "abdul-rahim-dawood"
    },
    "content": "yakiongelewa kuwa ni tume huru. Ningependa kusema kuwa Judiciary pia ni tume huru au independent Arm jinsi wanasema Kimombo. Watu waachane na Chief Justice wetu, Martha Koome. Wakati huu Chebukati ndiyo analalamika lakini wakati uchaguzi utatupiliwa mbali, atasema hakujua ni nini kiliendelea. Kwa hivyo, ningesema tunampongeza Rais na tutamuunga mkono mpaka mwisho. Wale ambao wanasema hajafanya kazi, wangoje wapate wakati wao. Vile tunasema Mheshimiwa Kibaki alifanya kazi, vile vile Mheshimiwa Uhuru amefanya kazi ya kutosha na tutamuunga mpaka mwisho. Asante, Mhe. Naibu Spika."
}