GET /api/v0.1/hansard/entries/1133897/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1133897,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1133897/?format=api",
    "text_counter": 132,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Trans Nzoia CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Janet Nangabo",
    "speaker": {
        "id": 1076,
        "legal_name": "Janet Nangabo Wanyama",
        "slug": "janet-nangabo-wanyama"
    },
    "content": " Asante sana, Bi Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii ya kuchangia Hotuba ya Mhe. Rais. Ningependa kumshukuru Mhe. Rais kwa kutoa Hotuba yake kulingana na Katiba ya nchi hii. Nitagusia sehemu kadhaa za Hotuba hiyo ambazo zilinipendeza. Kwanza, tumekuwa na changamoto ya virusi vya Korona nchini na kote ulimwenguni. Namshukuru Rais na Serikali yake kwa kujitahidi na kuhakikisha kuwa wanahudumia wananchi wa Kenya na kuzuia maambukizi tele ya virusi hivyo. Alibuni sehemu nyingi za kupimwa kwa walioadhirika na wasioadhirika, na hata kutoa chanjo ya kuzuiia maambukizi. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}