GET /api/v0.1/hansard/entries/1134388/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1134388,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1134388/?format=api",
"text_counter": 194,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "ambayo ni nadra sana kupatikana kama wasemavyo Waingereza. Kama Serikali Kuu ina nia ya kuinua bishara, inafaa kutafuta waekezaji wa kibinafsi ili waende wakainue biashara katika Bandari ya Lamu kwa sababu hiyo ndio bandari ambayo kwa sasa inaweza sheheri biashara kwa kikubwa. Mpango wa kubinafsisha Container Terminal 2 Mombasa inafaa kusimamishwa kwa sababu biashara kwa sasa ni nzuri na watu wanapata faida. Sioni sababu gani Serikali inabinafsisha kitu ambacho kinapata faida. Kenya ina ufuo wa bahari mkubwa lakini hatuna shirika la meli. Hakuna meli hata moja inayomilikiwa na Serikali ya Kenya. Kwa hivyo, sioni sababu gani Kenya Airways"
}