GET /api/v0.1/hansard/entries/1135670/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1135670,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1135670/?format=api",
"text_counter": 209,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Musuruve",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13188,
"legal_name": "Getrude Musuruve Inimah",
"slug": "getrude-musuruve-inimah"
},
"content": "Nachukua fursa hii kukushukuru kwa kuwa tumeweza kuwa na mazungumzo mazuri mwaka huu hapa Seneti. Naishukuru Seneti kwa kuhakikisha kwamba ombi zinazoletwa na wakenya zinawekwa katika mstari wa mbele ya kuwa kila Mkenya anapata haki yake. Nawatakia Wakenya wote krismasi njema na mwaka mpya wenye mafanikio. Asante."
}