GET /api/v0.1/hansard/entries/1135674/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1135674,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1135674/?format=api",
"text_counter": 213,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen Wetangula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 210,
"legal_name": "Moses Masika Wetangula",
"slug": "moses-wetangula"
},
"content": "kuwa hata tukibishana kutafuta viti vya uongozi, mwisho wa mabishano lazima tulinde amani ya nchi yetu. Tuhakikishe ya kwamba akina mama, watoto, walemavu na wale ambao kwa njia moja au nyingine hawajiwezi au ni wanyonge, wawe na nafasi ya kulindwa na sisi sote."
}