GET /api/v0.1/hansard/entries/1135675/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1135675,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1135675/?format=api",
"text_counter": 214,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen Wetangula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 210,
"legal_name": "Moses Masika Wetangula",
"slug": "moses-wetangula"
},
"content": "Bw. Spika, mwaka huu umekuwa na changamoto haswa kwangu na wewe pia kwa sababu tunatoka kaunti moja. Unajua kuwa tulimpoteza Mbunge wetu wa Kabuchai. Nashukuru Maseneta ambao walituma pole zao. Tulimzika na kwenda kwa uchaguzi mdogo ambapo tulimchagua mrithi wake na sasa tunaendelea vizuri."
}