GET /api/v0.1/hansard/entries/1135676/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1135676,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1135676/?format=api",
    "text_counter": 215,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen Wetangula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 210,
        "legal_name": "Moses Masika Wetangula",
        "slug": "moses-wetangula"
    },
    "content": "Kibinafsi pia nilimpoteza ndugu yangu mdogo kwa huu ugonjwa wa Korona. Kwa hivyo, tukizungumzia Korona, mjue kwamba wengine wetu tumefikiwa na ugonjwa huu. Nilimpoteza mama ndogo na nawashukuru sana nyote mliotuma rambirambi zenu."
}