GET /api/v0.1/hansard/entries/1135679/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1135679,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1135679/?format=api",
    "text_counter": 218,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen Wetangula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 210,
        "legal_name": "Moses Masika Wetangula",
        "slug": "moses-wetangula"
    },
    "content": "Bw. Spika, wale ambao wameshindwa tunawaambia tumewasamehe lakini hatutasahau, kwa sababu wamejifanya kuwa vibaraka wa wengine na kwa siasa ya nchi yetu hatutaki vibaraka. Tunataka watu wenye msimamo, heshima na wale wanazingatia demokrasia katika maisha yao kibinafsi, katika vyama vyao na katika nchi yetu."
}