GET /api/v0.1/hansard/entries/1135682/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1135682,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1135682/?format=api",
"text_counter": 221,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen Wetangula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 210,
"legal_name": "Moses Masika Wetangula",
"slug": "moses-wetangula"
},
"content": "Kwa polisi wetu, tunaenda kwa hafla za Krisimasi. Tunawaomba mfanye kazi kusaidia wananchi ili tusiwe na misongamano isiyo na maana katika barabara zetu. Tupunguze ajali ili Wakenya wanaotoka hapa jijini kwenda mashinani, iwe ni Pwani, kaskazini au magharibi na popote pale, waweze kusafiri bila kuhangaishwa na majambazi barabarani au bila kurundikana na milolongo ya magari kwa sababu ya kutoajibika kwa polisi wanaolinda trafiki kwa barabara."
}