GET /api/v0.1/hansard/entries/1135683/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1135683,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1135683/?format=api",
    "text_counter": 222,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen Wetangula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 210,
        "legal_name": "Moses Masika Wetangula",
        "slug": "moses-wetangula"
    },
    "content": "Bw. Spika, nachukua nafasi hii kuwatakia Wakenya na kuwapatia salamu za heri na fanaka katika mwezi huu wa Krisimasi. Tunajua wamekuwa na changamoto nyingi. Wakenya wengine watasherehekea Krisimasi bila chakula, wengine wanaenda wakihangaika kutafuta karo za watoto kwa sababu shule zinafunguliwa mwezi ujao."
}