GET /api/v0.1/hansard/entries/1135684/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1135684,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1135684/?format=api",
    "text_counter": 223,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen Wetangula",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 210,
        "legal_name": "Moses Masika Wetangula",
        "slug": "moses-wetangula"
    },
    "content": "Tunaomba Wizara ya Elimu iwachilie pesa za basari ziende kwa shule na kwa wale wanaohusika ili katika wiki mbili au tatu zijazo, shule zikifunguliwa, watoto waweze kwenda shule wakijua hayo ndiyo maisha yao ya baadaye."
}