GET /api/v0.1/hansard/entries/1135698/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1135698,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1135698/?format=api",
"text_counter": 237,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Akasema leo, kwa vyovyote vile, liwalo liwe, Maseneta wote ambao wako ndani ya Bunge la Seneti kuagana hapa leo, ikiwa ndio tarehe yetu ya mwisho, wataongea Kiswahili. Je, ni haki? Hata huyu mdogo wangu, ndugu yangu ninayemuenzi sana, Sen. M. Kajwang’ ana Kizungu mufti, lakini leo ameona aongee lugha ya mama."
}