GET /api/v0.1/hansard/entries/1135705/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1135705,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1135705/?format=api",
    "text_counter": 244,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Prof.) Kamar",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 33,
        "legal_name": "Margaret Jepkoech Kamar",
        "slug": "margaret-kamar"
    },
    "content": "Bw. Spika, nashangaa kwa nini Sen. Olekina aliye shindwa kabisa kuongea Kiswahili anacheka. Leo ni siku ya maana sana kwa sababu tumeamua tutaongea Kiswahili kusema asante. Shukrani ya kwanza ni kwako Bw. Spika. Shukrani ya pili ni kwa Panel yako na tumefanya kazi nzuri. Shukrani ya tatu ni kwa sisi sote Maseneta. Tumefanya kazi nzuri sana mwaka huu wa 2021. Bw. Spika, leo ilikua siku nzuri sana kwa sababu tulivunja rekodi. Kwa kura, tulikuwa na Maseneta 30 kwenye mtandao na ndani ya Bunge. Ningependa kuwashukuru sana kwa sababu walituheshimu. Tuliitisha Kikao hiki kiwe Kikao Maalum, na tukakuja sote. Nina washukuru sana."
}