GET /api/v0.1/hansard/entries/1135712/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1135712,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1135712/?format=api",
"text_counter": 251,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Milgo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13174,
"legal_name": "Milgo Alice Chepkorir",
"slug": "milgo-alice-chepkorir"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. La kwanza ni kuchukua fursa hii kushukuru viongozi wa Seneti na Maseneta wenzangu jinsi tumeendelea mwaka huu na miaka nne iliyopita. Ninakumbuka siku ya kwanza ulipotupeleka orientation. Ninakumbuka nilikuuliza kama nitawahi weza kutunga sheria hata moja. Leo hii ninaposimama hapa nimepitisha Miswada yangu zaidi ya mbili na Hoja mbali na zile za Kamati, na bado ninaendelea. Bw. Spika, nina kushukuru kwa njia umetuelekeza na kutufunza. Nimepata kujifunza kutoka kwa Maseneta wenzangu namna ya kuendeleza mambo ya siasa. Hapo awali nilikuwa mwalimu. Sasa hivi nimegeuzwa na kuwa mwanasiasa kamili. Ningependa pia kushukuru wengazu kwa kupitisha Budget Policy Statement"
}