GET /api/v0.1/hansard/entries/1135716/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1135716,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1135716/?format=api",
"text_counter": 255,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Eng.) Hargura",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 827,
"legal_name": "Godana Hargura",
"slug": "godana-hargura"
},
"content": "Asante, Bw. Spika kwa kunipatia nafasi hii. Langu ni kuungana na wenzangu, Masenta walio hapa Bungeni, kuwashukuru Maseneta wote kwa kazi tuliyo weza kufanya mwaka huu katika kutimiza majukumu yetu kama wawakilishi wa serikali za ugatuzi na watungi wa sheria."
}