GET /api/v0.1/hansard/entries/1135724/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1135724,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1135724/?format=api",
    "text_counter": 263,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Omanga",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13175,
        "legal_name": "Millicent Omanga",
        "slug": "millicent-omanga"
    },
    "content": "Bw. Spika, mwaka huu, Seneti ilipitisha miswada nyingi hata ingawa kuna zingine nyingi ambazo hazijaweza kushughulikiwa kikamilifu katika Seneti. Miswada zingine pia bado zimekwama katika Bunge la kitaifa. Wengi wetu tunahangaika kwa muda mrefu kutayarisha miswada na hata kukosa usingizi lakini zikifika katika Bunge la Kitaifa, zinakosa kushughulikiwa. Seneti inafaa kujadiliana na Bunge la Kitaifa ili"
}