GET /api/v0.1/hansard/entries/1135729/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1135729,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1135729/?format=api",
"text_counter": 268,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Prof.) Ongeri",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 124,
"legal_name": "Samson Kegeo Ongeri",
"slug": "samson-ongeri"
},
"content": "Asante sana Bw. Spika kwa kunipa fursa hii kuchangia Hoja hili. Nawashukuru maseneta wenzangu kwa kupitisha hoja la Budget Policy Statement linaloangazia ugavi wa fedha kwa kaunti zetu. Bei za bidha kadha wa kadha zimepanda. Serikali za kaunti zina wakati mgumu wa kufikisha kiwango cha bajeti zao."
}