GET /api/v0.1/hansard/entries/1135745/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1135745,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1135745/?format=api",
"text_counter": 284,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Lusaka",
"speaker_title": "The Speaker",
"speaker": null,
"content": "Nikimalizia, ninachukua nafasi hii kuwatakia Maseneta wote na Wakenya kwa jumla Krisimasi njema na mwaka mpya 2022 wenye mafaniko. Tusherehekee tukijua kwamba, mwaka ujao, kuna majukumu yatakayohitaji tutumie pesa zetu. Kwa hivyo, hata kama tutakuwa na Krisimasi na mwaka mpya, tusitumie pesa zote halafu Januari, tuwe na shida halafu tuanze kuitisha harambee ya kutimizi maswala fulani. Kwa hayo, ninawashukuru na kuwatakia Krisimasi njema na mwaka mpya wenye mafanikio."
}