GET /api/v0.1/hansard/entries/1136969/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1136969,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1136969/?format=api",
"text_counter": 495,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Jane Chebaibai",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Elgeyo/Marakwet (CWR), JP): Mhe. Naibu Spika wa Muda, ni siku ambayo nina huzuni. Kenya tulitawaliwa kitambo lakini sasa naona leo kwamba tunatatizo kubwa. Waheshimiwa wenzetu wanaita wenzao wauaji. Hiyo ni makosa na si vizuri. Kitu ambacho kinahuzunisha..."
}