GET /api/v0.1/hansard/entries/1136971/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1136971,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1136971/?format=api",
    "text_counter": 497,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Elgeyo/Marakwet CWR, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Jane Chebaibai",
    "speaker": null,
    "content": " Hakuna siku viongozi wa taifa letu la Kenya wamechukua nafasi ya kutuita kwa mkutano wa dharura, ili tuzungumzie mambo ambayo yanayotuhusu na wale watu ambao wamenyanyaswa. Kila mara, tunauliza maswali na tunatengeneza sheria ambayo inaumiza watu wa Elgeyo/Marakwet."
}