GET /api/v0.1/hansard/entries/1136981/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1136981,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1136981/?format=api",
    "text_counter": 507,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi South, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Ken Chonga",
    "speaker": {
        "id": 13374,
        "legal_name": "Richard Ken Chonga Kiti",
        "slug": "richard-ken-chonga-kiti"
    },
    "content": " Mhe. Naibu Mwenyekiti wa Muda, naomba uniruhusu dakika moja. Naibu Mwenyekiti wa Muda aliyekuwa amekaa pale mbeleni alikuwa amehimiza ya kwamba mtu apige tu kura bila kuzungumza lolote. Wewe ukaanza kuwakubali na kuwasikiza wakidebate . Hiyo ndiyo imechangia fujo ambayo inaonekana hapa."
}