GET /api/v0.1/hansard/entries/1137634/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1137634,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1137634/?format=api",
    "text_counter": 42,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Samburu CWR, KANU",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Maison Leshoomo",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": " Asante sana, Mheshimiwa Naibu Spika kwa kunipa nafasi hii. Tuna sheria ambazo zinalinda Bunge hili. Ningeomba mtumie sheria hizo ili tumalize Mswada huu. Ningependa pia kuuliza kama mashine za upande huu na upande huo mwingine ni tofauti. Ni muhimu tuelewe kwa sababu ninafikiria kuwa tunatumia mashine aina moja."
}