GET /api/v0.1/hansard/entries/1137639/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1137639,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1137639/?format=api",
    "text_counter": 47,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Samburu CWR, KANU",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Maison Leshoomo",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": " Mheshimiwa Naibu Spika, kwa kweli, mashine hii ni moja. Hata upande huu tulikuwa na shida na kadi zetu lakini zilirekebishwa. Tuko hapa kupitisha sheria na tunaangaliwa na Wakenya wote. Ningeomba tupige kura kama watu wazima wanaojua wanachokifanya. Ni lazima pia tutumie sheria."
}