GET /api/v0.1/hansard/entries/1138542/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1138542,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1138542/?format=api",
"text_counter": 950,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, Independent",
"speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
"speaker": {
"id": 13455,
"legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
"slug": "mohamed-ali-mohamed"
},
"content": " Shukrani sana, Naibu Mwekekiti wa Muda. Ningependa kusema ya kwamba sheria hizi ambazo zinajaribu kutungwa hapa Bungeni ni za kuwakandamiza wanasiasa na wahusika watakaotaka kujiunga katika siasa. Nataka kutoa mfano bora na ushahidi wa kutosha kuhusu vile mimi mwenyewe nilivyotendwa. Huyu Junet anayezungumza ndiye aliuza tiketi yangu. Kama sio Junet…"
}