GET /api/v0.1/hansard/entries/1138553/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1138553,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1138553/?format=api",
"text_counter": 961,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, Independent",
"speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
"speaker": {
"id": 13455,
"legal_name": "Mohammed Ali Mohamed",
"slug": "mohamed-ali-mohamed"
},
"content": "Naomba ulinzi, Mwenyekiti. Hii sheria itatumika kugandamiza watu, itatumiwa na watu ambao wanatumia vyama vibaya, watu ambao itakua ni vigumu kuwapata wakati ambapo watu wanataka msaada. Hii sheria… Nazungumza nikisema na nikitia mfano wangu kwa sababu leo singekuwa katika hili Bunge kama singefuata njia nyingine ya kutafuta usaidizi. Leo Junet anasema hivyo na kesho yeye ndiye atakandamiza watu kwa sababu…"
}