GET /api/v0.1/hansard/entries/1139259/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1139259,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1139259/?format=api",
"text_counter": 161,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante kwa kunipa fursa hii. Asubuhi tulipokuwa tukizungumza, nakumbuka Seneta kutoka Kaunti ya Kisumu, Sen. Nyamunga, alisema ni kama kuna mapendeleo. Mimi nimeketi hapa na ninaona sasa mapendeleo yamepinduka, Bw. Spika."
}