GET /api/v0.1/hansard/entries/1142634/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1142634,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1142634/?format=api",
"text_counter": 130,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Baa la njaa katika Kenya ni donda sugu ambalo kila mwaka Wakenya wanapoteza maisha yao. Marekesbisho haya yanaweza kutengeneza sheria ikawa mwafaka kuhusiana na unyinyizaji wa maji katika nchi yetu. Bw. Spika, ninaunga mkono. Asante."
}