GET /api/v0.1/hansard/entries/1142649/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1142649,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1142649/?format=api",
    "text_counter": 145,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika, pengine Kiongozi wa Walio wengi hajafahamu vyema. Hivi sasa, Serikali ndio inafanya mipango ya kuwekeza wale watu ambao wanataka kutengeneza shughuli ya Galana Kulalu, mambo ya mimea, huduma zao na kila kitu. Lakini, hivi sasa tukiongea, upande wa Galana Kulalu, ikiwa area yangu ninayo"
}