GET /api/v0.1/hansard/entries/1142661/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1142661,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1142661/?format=api",
    "text_counter": 157,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika, jambo tulilokuwa tunaongea hapa ni la muhimu sana. Ni ukweli kwamba mimi na ndugu yangu, Sen. Poghisio, tuko upande moja wa kisiasa katika eneo la Azimio la Umoja. Sioni sababu yoyote ya mtu kuleta mambo ya Azimio la Umoja hapa ikiwa swala la mashamba linaloangaliwa hapo ni muhimu. Kwa hivyo, yeye anahaki yakuleta mambo ya kisiasa hapa ilhali hakuna mtu yeyote ambaye ameleta mambo ya kisiasa?"
}