GET /api/v0.1/hansard/entries/1142662/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1142662,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1142662/?format=api",
    "text_counter": 158,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Lusaka",
    "speaker_title": "The Speaker",
    "speaker": null,
    "content": " Nafikiri Sen. Cherargei ana mazoea ya kuleta mambo ambayo hayahusiki na Bunge. Hafai kutuelekeza kwa mambo ya Azimio la Umoja na Kenya Kwanza ili tuweze kushughulikia maswala ambayo yako katika Bunge hili. Endelea Sen. Cherargei."
}