GET /api/v0.1/hansard/entries/1142846/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1142846,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1142846/?format=api",
"text_counter": 78,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mvita, ODM",
"speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": " Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika. Naomba kumuuliza Waziri mhusika wa masuala ya fedha Swali lifuatalo: (i) Baada ya shirika la Kenya Ferry Services (KFS) kusimamishwa na kufungwa na kazi zake kupelekwa kwa Halmashauri ya Bandari, Kenya Ports Authority (KPA) mwezi wa Juni, 2021, ningeomba Waziri atuelezea hatma ya wafanyikazi wa Kenya Ferry, hususan ikiwemo habari za uajiri wao, hali zao na nyongeza ya mishahara kulingana na ilivyo upande wa Kenya Ports Authority ---"
}